Uzi mpya wa Yanga: Tofauti ya wanaovaa na wanaostiri mwili

Hapo kuna MoXtra ya mia tano (logo ndogo) na MoXtra ya buku (logo kubwa) na nasikia wanampango wa kutoa ndogo kabisa ya mia tatu ambayo itakaa kifuani.

Tajiri kasema bil 20,lazima iende kihalali na amesema wakimzingua ubavuni anaweka jina la mke wake.
😀😀😀😀
 
Tatizo la jezi ya simba ni Mo dewj na matangazo kibao..

Hili jambo lazima aambiwe ukwl..

Jezi ni Mo Mo kila sehem kwani yeye ni mwekezaji au mdhamini?
Basi sawa umeshaweka matangazo hapo mbele ya jezi ,,sasa tena lile tangazo kubwa la mo dewj matakoni la nn?

Mimi sitonunuwa jezi ya simba hadi matangazo ya Mo dewj yatolewe kule kwenye makalio.

Yaani sehem zote hajaona pa kuweka maneno Mo dewj kaona mgongoni tena chini kwenye makalio...halafu maandishi makubwa sana...
 
Aaaaahaaaa

Hamtaki kupapaswa makalio?
 
Simba kweli "mambumbumbu' (Rage voice) yaani wanapenda pesa za mo anazojitolea mda mwingine ila hawataki kumpa shavu (KULA KULIWA)
 
Mimi naamini ktk hilo kila mmoja kwa kadiri ya mapenzi yake ataiona jezi ya timu yake ni Nzuri hapo ukitaka ukweli aje mtu wa nnje ya ushabiki atuambie kama ni sisi Simba au wao Yanga? Nitabakia ya kwamba jezi yetu Simba ni nzuri sana.
 
Only in Tanzania watu wana jadili upuuzi yaani kweli jezi ni kitu cha kujadili badala ya kujadili mipango ya team.
.
JamiiForums592774928.jpg
 
Simba kweli "mambumbumbu' (Rage voice) yaani wanapenda pesa za mo anazojitolea mda mwingine ila hawataki kumpa shavu (KULA KULIWA)
Mbumbumbu ni wale walioweka mwiko nyuma,

Hakuna pesa ambazo mo anajitolea,,

Pesa zote ni maokoto ya simba na hayana mkaguzi.
 
Back
Top Bottom