Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
😀😀😀😀Hapo kuna MoXtra ya mia tano (logo ndogo) na MoXtra ya buku (logo kubwa) na nasikia wanampango wa kutoa ndogo kabisa ya mia tatu ambayo itakaa kifuani.
Tajiri kasema bil 20,lazima iende kihalali na amesema wakimzingua ubavuni anaweka jina la mke wake.