Uzi wa kila mtu kumuintavyuu mtu na kujiitavyuuu mwenyewe

Nataka nikutwange swali bang gan huwa ina stimu sana ya arusha ya chato au tarime?
Kitu cha Tarime kimesimama. Hata Arusha wengi wanatoa Tarime. Chato wanatoa tabora. Kijiti cha Tabora kitulivu sana, ukikipiga unakuwa zezeta tu
 
Mke mwenza niaje aisee mbona unashtuka kama ulikuwa hujui
Nimeshtuka sababu aliniambia anakuja kukuchek anarudi sasa hayo mambo ya yeye kulala tena huko sijaelewa wakati kaniambia nisilale nimsubiri mpaka arudi mwenza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…