HS CODE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 1,784
- 4,376
Popoma GENTAMYCINE katika ubora wako..Naona unaandika uharo tupu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hahaha, hivi jamaa ana IDs ngapi humu Jf?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Popoma GENTAMYCINE katika ubora wako..Naona unaandika uharo tupu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hahaha, hivi jamaa ana IDs ngapi humu Jf?
Acha kujipa majukumu yasiyokuhusu, hata kwa mfano ukijua itakusaidia nini sasa.
Kaka sijakuquote, kureply wala kukufuata PM kulazimisha ujibu nilichouliza. Muda mwingine kukaa kimya ni kujiheshimu.
Hamna uwezo wa kuua legacy nyie saccoss.Mwambieni Mzee wa 'tutashtakiwa miga' arudi bongo kudai katiba mpya aache kuosha vyombo Kwa Amsterdam [emoji28]Naona sukuma gang mnatetea legacy.Mungu wenu anapokea vitasa Tu motoni huko[emoji1787][emoji1787]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mzee kupata pesa kidogo Ushaanza kututusiMtu ukiwa huna hela unawaza ujinga tu [emoji1787][emoji1787]
Hili vipi, sasa ukifanya upuuzi ndio usiambiwe?
Ndo utafute hela bro Lasivyo kila neno utaona unasimangwa [emoji23]Mzee kupata pesa kidogo Ushaanza kututusi
Tumia akili wewe hakuna sehemu nimekataa kuambiwa ukweli, ninachomaanisha hakuna sehemu nimelazimisha uniambie wewe.
MmmhMmmh
Mmh mmmh mmhMmmh
Ahahahaaa jamaa Nini mbona unaguna saana bobMmh mmmh mmh
Mmmh nawaza hapa kuna siku ntamiliki million 300 per month cjuiAhahahaaa jamaa Nini mbona unaguna saana bob