Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

Jumapili ya leo ya mwisho wa mwaka 2021 umemtolea Mungu sadaka ya shukrani kwa sababu zipi hasa?
1.Kutuondolea dubwasha lililokuwa linaitwa JPM.

2.Kumnyamazisha ghafla yule top manyota wa awamu ya 5, aliyekuwa na kichwa kama korosho.

3.Kumuita fasta fasta yule binadamu mwenzetu aliyetamani cheo cha Malaika Mkuu ili akajieleze kwanini alisema vile?kwamba Malaika Mikaeli na Gabriel wana mapungufu kiutendaji hadi wanazidiwa na Mchato?
 
Mimi ndy GENTAMYCINE charismatic fella,entertainer na game changer.Vilaza Kama nyinyi(wewe) mtapata tabu Sana kunifuatilia humu ndani

Kwa taarifa yako Tu hii taarifa nimepata kutoka Kwa mtu mkubwa sn serikalini, kwa hiyo nikiongea kitu basi ujue ni ukweli 100%

Ila sihitaji vilaza km wewe uamini ninachosema.Mpuuzi mkubwa wewe

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ukiona ama unatajwa sana au Unazungumzwa sana au Unafuatiliwa sana au kuna Watu wanapenda hadi Kujifanya Wao ndiyo GENTAMYCINE hadi wamekariri na Signature yako jua ya kwamba Uliumbwa na Mwenyezi Mungu Siku nzuri ya Jumanne na akakupa Nyota Kali ya Mvuto ambayo ni Chukizo kwa Wapumbavu wengi ambao Mola ( Maulana ) hakuona Umuhimu wa Kuwabariki hivyo.

Asante sana Mungu kwa Kunipendelea.
 
Popoma GENTAMYCINE katika ubora wako..Naona unaandika uharo tupu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ukiona ama unatajwa sana au Unazungumzwa sana au Unafuatiliwa sana au kuna Watu wanapenda hadi Kujifanya Wao ndiyo GENTAMYCINE hadi wamekariri na Signature yako jua ya kwamba Uliumbwa na Mwenyezi Mungu Siku nzuri ya Jumanne na akakupa Nyota Kali ya Mvuto ambayo ni Chukizo kwa Wapumbavu wengi ambao Mola ( Maulana ) hakuona Umuhimu wa Kuwabariki hivyo.

Asante sana Mungu kwa Kunipendelea.
 
Hahaha, hivi jamaa ana IDs ngapi humu Jf?
ID's zote za hapa JamiiForums ni zangu mpaka na hii ya HS CODE sawa? Je, una Swali lolote lingine? Majibu yangu kwa Wapumbavu, Waswahili na Wanafiki kama Wewe huwa hayako mbali.
 
Hahahaaaa Huu Uzi wa kiwaki sana ila umenifurahisha sana Aisee this is JF!
😂😂😂😂
 
hahahah Aisee mkuu tatizo humu jamvini Kuna watu wamevurugwa na maisha,Wana frustration za kufa mtu!
kweli aisee napendekeza JF kuwe na jukwaa la saikolojia na atafutwe mods mtaalamu wa saikolojia Ili kuwashape wavurugwaji maana soon tutaenda poteza members watakao jiua Kwa frustration!
 
Back
Top Bottom