Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

Naskia madereva wa mabus kutoka Moshi wamegoma kuja Dar
 
kweli aisee napendekeza JF kuwe na jukwaa la saikolojia na atafutwe mods mtaalamu wa saikolojia Ili kuwashape wavurugwaji maana soon tutaenda poteza members watakao jiua Kwa frustration!
wazo zuri sana Mkuu watu Wana stress sana na kuvulugwa na maisha imagine #TANESCO nao wamekata umeme usiku huu Hivi kweli mtu usivurugwe kweli?
 
Kama hutumii kitu kidogo kuuelewa huu uzi kazi ipo.
 
wazo zuri sana Mkuu watu Wana stress sana na kuvulugwa na maisha imagine #TANESCO nao wamekata umeme usiku huu Hivi kweli mtu usivurugwe kweli?
Haahaaahaha tabu kweli kweli Hivi Hilo shirika chakavu kwanini wasiruhusu mashirika mengi ya uwekezaji TANESCO ikapata mpinzani maana ktaongeza ushindani!
 
Haahaaahaha tabu kweli kweli Hivi Hilo shirika chakavu kwanini wasiruhusu mashirika mengi ya uwekezaji TANESCO ikapata mpinzani maana ktaongeza ushindani!
Thubutu,yaani waruhusu ushindani wafe kifo Cha Mende?
Hilo shirika Lina wenyewe na Kuna vigogo wameligeuza shamba la bibi kuchuma mapesa kunufaisha matumbo Yao
Kiufupi TANESCO ni shirika la mchongo!
 
Na Kuna jirani yangu mchawi mchawi hivi, naskia yupo ngazi ya umember muda huu hapa hapa jukwaani🤣🤣
Kuna watu humu walikuwa ma-expert, mala wakawa visitors muda kidogo wakawa member, muda kidogo watakuwa ma- Senior member
 
Thubutu,yaani waruhusu ushindani wafe kifo Cha Mende?
Hilo shirika Lina wenyewe na Kuna vigogo wameligeuza shamba la bibi kuchuma mapesa kunufaisha matumbo Yao
Kiufupi TANESCO ni shirika la mchongo!
kweli aisee wewe angalia kama wale wa mawasiliano I mean TTCL wamejifia kifo Cha Mende baada ya makampuni ya uwekezaji kuja,
Walijitutumua enzi za mwendazake et na wao wamerudi Kwa kishindo Kwa kulazimisha watumishi wote wa umma kutumia mtandao wa serikali kukuza uzalendo kumbe maigizo matupu na maajabu wakatoa Hadi gawio la mabillion ya shilling Kwa Serikali mbele ya mwendazake
Sijui walizipata wapi aiseee maana tunajua nothing more Kwa accounts Zao!
 
Back
Top Bottom