Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

Kaka sijakuquote, kureply wala kukufuata PM kulazimisha ujibu nilichouliza. Muda mwingine kukaa kimya ni kujiheshimu.

Hili vipi, sasa ukifanya upuuzi ndio usiambiwe?
 
Mtu ukiwa huna hela unawaza ujinga tu [emoji1787][emoji1787]
 
Kuna watu humu walikuwa ma-expert, mala wakawa visitors muda kidogo wakawa member, muda kidogo watakuwa ma- Senior member
Mhhh labda wanaishi ki- budha hao, ule mfumo wa kufa na kurudi tena unawahusu
 
Hili vipi, sasa ukifanya upuuzi ndio usiambiwe?

Tumia akili wewe hakuna sehemu nimekataa kuambiwa ukweli, ninachomaanisha hakuna sehemu nimelazimisha uniambie wewe.
 
Tumia akili wewe hakuna sehemu nimekataa kuambiwa ukweli, ninachomaanisha hakuna sehemu nimelazimisha uniambie wewe.

Sasa ukitaka hivyo, kila baada ya kuandika uzi au komenti yako, kwa chini orodhesha majina ya watu unaotaka wajibu. Mijitu mingine inakukera uitukane ili upigwe ban.
 
Halafu kwenye sheria za Jf inabidi kuna vitu waongeze ufafanuzi, hivi kwa mfano mtu akaamua kujitukana mwenyewe pia anakula ban?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…