Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

Mkuu umezaliwa jumanne? Mimi pia nimezaliwa jumanne.Ila mbona watu wanasema jumanne siku mbaya? Nasikia Hadi mganga hapigi ramli jumanne
 
We popoma tu maana umeanzisha uzi wa kiwaki sana 😃😃
Sio kila uzi lazima ucomment bwege wew alaf sitaki uni quote acha mambo ya kishamba nimesema popoma baba ako naludia tena popoma baba akoooooo 😾☹️☹️☹️😒
 
Ushaanza ushoroba Sasa, life is too short achana na maisha yangu mtoto wa kufikia wa popoma weye.
Kweli nimeamini maskini akipata matak*.... Yaani weee Tungalaza wakuniita mimi mjukuu wa Popoma kweli?
 
Kweli nimeamini maskini akipata matak*.... Yaani weee Tungalaza wakuniita mimi mjukuu wa Popoma kweli?
Acha yalie tu.... Ukiweza na ngoma cheza kabisa Popoma H+ wewe.
 
Mda mwingine unaweza kuwaza adi akili nayo ikaruka
 
Uzi kama huu mbona nishawahi kumuona hapa Jf ,mtoa mada hana idea mpya kazi kucopy na kupaste idea za wenzake.
 
Uzi kama huu mbona nishawahi kumuona hapa Jf ,mtoa mada hana idea mpya kazi kucopy na kupaste idea za wenzake.
Acha maneno mengi weka link ya huo uzi uliokopiwa humu vinginevyo nakuona kama unapiga porojo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…