Uzi wa kufundishana maisha ya Jela na selo

Hii Kali mwanaume unaambiwa unanukia mbunye unakenua😱😱😱😱😱
 
Nimeisikia sana hii gereza kule mbeya
 
Unamaanisha nini meno bandia Kwa 200?
 
Jela hukwenda kwa bahati mbaya
 
Tsh 200..hii ya karume,sasa ile shilingi unaikwangua mpaka inabaki shaba tupu..then unaikunja size ya jino(kama zile za wasanii Wanaweka mdomoni) GOLD SLUG...

jino moja kwa plate moja ya ubweche.
Mh wenzangu kama kuna aliyeelewa hii ishu ya 200 anayoiongelea MAWEED atusaidie kufafanua.
 
Hivi magereza ya Bongo huwezi fanya mautundu kama yale ya Michael Scofield?
Ole wako..utapigwa chuma ya kisogo...ingawa wapo watu wanatoroka....ishatokea jamaa alitoroka jela kwakua alikua ameaminiwa sababu alikua amebakizA mda mdogo kutoka..sasa mfungwa akitoroka askari anashushwa cheo kimoja..sasa uyo askari akaenda kwa mganga wa vitabu..jamaa alivutwa kishirikina akaenda adi mji wenye gereza akashikwa kama kuku😬😬😂😂...mmoja yeye alitoroka mchana wakati wa kula kama vumbi...hii ni jela moja kanda ya kati..huyu hakuwahi kushikwa maana mganga aliemsaidia ni hatari
 
Hiv hizi inshu za uganga za namna hii kumbe zipo? Sema inshu hao wa namna hiyo ndio mtihani haswa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…