Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Nenda Facebook.Jela uwe na hela hata mbususu utachakata, utakula vizuri, utafuliwa, nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Facebook.Jela uwe na hela hata mbususu utachakata, utakula vizuri, utafuliwa, nk
.Assume me ni nyapara nimekutandika viboko miaka 5 halafu siku moja tunakutana uraian,utanifanyaje?
hahaahah akadanganye watoto wa Fb sioNenda Facebook.
Kirikiri Maximum Security Prison.Ila kuna jamaa aliwahi kusema gereza hatari Africa namba moja lipo Nigeria hilo gereza Africa nzima ni kiboko yaan Jehanamu ikasome ni sawa umeongizwa kuzimu, nimesahau jina
Ukiwa kiherehere ni kazi nyingine na haihusiani kuwa upgraded kwenye unyapara...Mkuu, sehem nyingi kwenye wafungwa hua naona manyapara wanavonyanyasa wafungwa. Hasahasa kwenye kazi ngumu, unakuta nyapara anatembeza mjeledi hatari kwa wafungwa.
JE hawa jamaa, hua inatokea wanashushwa vyeo na kurud kuwa wafungwa wa kawaida, au ukiwa KIHEREHERE n kazi ya kudumu?
Na if wanashushwa vyeo, he wakirudi chini maisha yao yanakuwaje?
Haitakusaidia kitu hata ukijua ila ikitokea umefungwa,utajua kwanini kuna watu wanaishi kifaza gerezani kama teddy tadero.Yes ndio hilo hilo,
Mkuu Gold Slug ya 200 ya shaba hua wanaipeleka wapi mbon umekwepa kujibu?
Umenikumbusha jamaa yangu alipelekwa escoter Gereza la MAWENI(MUUWENI),,alikua anaitwa john me nlipenda kumuita FIDEL CASTRO...Alinunua redio(hatukujua kaitoa wapi wala betri ananunuaga muda gani)..Jela / mahabusu kuna mambo ya kis**ge sana ,kuna watu wanajifanya miamba sana ukiwacheki hata kiganjani hawajai ,ningekuwa mjela jela nahisi ningepata kesi ya mauaji maana .
Zoteee.Hapana,haiwezekani miundombinu bado ni duni sana maybe uvunje kwa kutumia nguvu...ndio maana wengi wanatoroka tym mpo kazini,mahakamani au wakiwa escoted...
ujanja jela ni kutengeneza meno bandia kwa kutumia 200(shilingi) halafu ubadirishane na wali canteen.
NB:FENCE YA JELA NI ZEGE,NONDO NA CEMENT TU... Sasa kama utaingia na drill labda utafanikiwa kuvunja....
JIKO LA JELA HALIJAWAHI ZIMWA NA HALITOZIMWA KAMWE...
Na kule hamna kondomu Wala vilainishiJera ukipenda kulakula na wewe ni mwanaume unavuliwa ubigwa haraka sana, yani unatauliwa marinda so usiendekeze njaa ukiwa jera
Unaijua jehanamm?"Na sema: hii ni haki itokayo kwa mola wenu, basi anayetaka aamini na anayetaka na akufuru, hakika sisi tumewaandalia madhalimu moto ambao zimewazunguka wao kuta zake {wamefungiwa}, na wakiomba msaada watasaidiwa kwa kupewa maji kama shaba iliyoyeyushwa, yatakayowababua nyuso zao, kinywaji hicho ni kiovu mno! na matandiko maovu mno ya kupumzikia ni hayo!."
Qur'an 18:29
Mkuu usifananishe jahannam na vitu vya ajabu, lau ungeijua maana ya jahannam ungelia umri wako wote wala usipate furaha katu.
Nb: sijaja kuharibu uzi nimetia neno tu.