Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

Happy New year kwa mke wa ujana wangu, tuliofunga ndoa siku ya ubatizo na kupata mtoto siku ya kipaimara Sky Eclat

Heri ya Christmas na Mwaka mpya kwa partner wangu wa mahaba bin sukari ya uzeeni yaliyoshindikana Kasie binti mahaba matata

Merry Christmas kwa mjukuu mtiifu nayesubiria kuchukua mahari makubwa kama bado ana bikira Joanah

Heri ya mwaka mpya kwa wapinzani wangu wote wasionitakia mema na wanaoharibu mishe zangu za ukaguzi....

Happy birthday ya Yesu kwa waungwana wote wananigongea ma-LIKEs kwenye posts zangu hata kama ni za kibwege

Nawatakia kifo chema wote wanaonigongea Dislike kwenye post zangu hata zile nilizotumwa na roho mtakatifu kuziandika

Nawatakia maisha marefu wajukuu wangu wote, wazee wenzangu, wala kitimoto wenzangu, wanywa K Vant wenzangu na watakatifu wenzangu

Nawaombea maisha marefu wachuchu wote watakaokubali kwa hiari yao kuja kwangu ili niwakague...

Babu narudi kitandani

hahaha nimecheka sana [emoji1][emoji1]
Happy holidays babu
 
Heri ya Christmas [emoji319] na Mwaka mpya[emoji1783][emoji1783]
Antonnia
Tinsley
National Anthem
Mjep
Saint Anne
Cocastic
Valentina
Carrasco putin
Wigelekelo
Jack Palladino
Lenie
Wapo wengi mno
Ahsanteeeeeeh sanaaaaa, nawe piaaa. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa! mie nawapenda weeeengi sana! hata wengine sijui wamekufa siku hizi?? make siwaoni tena au wameni buloku! km yulee mama wa kiislamu sijui nani vile...............

Afisa nae sijui apsa !!!! But any way nawapenda wote wana JF big up sana!....BILA KUSAHAU UONGOZI WA JF! ILA DUUU!! WANA PIGA BAN HAO!!/HASA HASA KILE KIMDADA KILE CHEUPE KINAKAAGA PALEEE! konani...

Ombi langu mwaka huu, JF punguzeni Ban buana!
 
Back
Top Bottom