Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
Happy New year kwa mke wa ujana wangu, tuliofunga ndoa siku ya ubatizo na kupata mtoto siku ya kipaimara Sky Eclat
Heri ya Christmas na Mwaka mpya kwa partner wangu wa mahaba bin sukari ya uzeeni yaliyoshindikana Kasie binti mahaba matata
Merry Christmas kwa mjukuu mtiifu nayesubiria kuchukua mahari makubwa kama bado ana bikira Joanah
Heri ya mwaka mpya kwa wapinzani wangu wote wasionitakia mema na wanaoharibu mishe zangu za ukaguzi....
Happy birthday ya Yesu kwa waungwana wote wananigongea ma-LIKEs kwenye posts zangu hata kama ni za kibwege
Nawatakia kifo chema wote wanaonigongea Dislike kwenye post zangu hata zile nilizotumwa na roho mtakatifu kuziandika
Nawatakia maisha marefu wajukuu wangu wote, wazee wenzangu, wala kitimoto wenzangu, wanywa K Vant wenzangu na watakatifu wenzangu
Nawaombea maisha marefu wachuchu wote watakaokubali kwa hiari yao kuja kwangu ili niwakague...
Babu narudi kitandani
hahaha nimecheka sana [emoji1][emoji1]
Happy holidays babu