Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Shukrani wifi yangu
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mi white wangu kasafiri yaani nitakuwa na li dompo langu nyumbani huku naangalia movies
utakomajee utalibambia li dompo lako mpaka ukomee
kuna lidemu hapa jeusi tiii zuri kweli nikupasie?
 
Asante sana Iceman wa Ney
Uwe na pasaka njema wewe na wapendwa wako wote[emoji120][emoji120]
 
Shukran chamdeko wa jr,uwe na pasaka njema wewe na king wa msata
 
Shunie
The bold
Mshana Jr
Steve mollel
Miss natafuta
Miss chagga
All Jf members wote karibuni hapa Rungwe mpate kitimoto kwa wale wasiotumia huyo mdudu mbuzi yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…