Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Mm nawatakia pasaka njema,
Mh raisi wetu mpendwa
Kamanda sirro
Paulo makonda
Mohammed dewij
Tulia akison
Alexander mnyeti
Tito mhando na wengine wenye ugeni huu wa pasaka
 
Shukurani kipenzi, msalimie p.
 
Shukurani mpenzi, uwe na sikukuu njema.
 
Usipende mambo ya gizani.
Pasaka njema Manga ML
Ohiii ha haaa kanifanyia kusudi huyu saa hizi ndo anatoa mualiko itabidi tu iwe gizani.

Pasaka njema kwenu pia

Nimegonga milaiki mingi kweli kwa jamaa ili anione lakini wapii sijui na yeye anatafuta mialiko?

Mualike dark angel basi vile kesha nialika nije nae teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…