Asante saaaana babe ake mshanaNimechelewa kuwatumia salamu mnisamehe kwa hilo jamani majukumu ya ndoa yananipenda zaidi.
Nianze na mme wangu anayenifanya niwe na raha kwenye dunia hii Mr Mshana Jr jua nakupenda na ninakupenda sana tu mimi ni wako baba usiwe na shaka.
Pamoja na watu wangu wa nguvu wafuatao nawakubali sana
Kipenzi rafikiiii Mwifwa
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Cajojo
usser
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Na wengine wotee majina magumu jaman mnisamehe .
Much love my sister[emoji7] [emoji8] [emoji8]Mdogo wangu kipenzi, asante saana na kwako pia!![emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji23][emoji23] poa mzee baba umetisha sanaHahahah
Familia zina kaa pamoja asee
Asante sana ntakunywa juice wakati nasubiri pilau liiveAsante sana Dav, karibu juice
Asee Shunie ashapika?[emoji23][emoji23] poa mzee baba umetisha sana
Thanks babe brodaMuch love my sister[emoji7] [emoji8] [emoji8]
Hahaha na kamfuko ka nylon jirani.Hahahaa. Jamaani jirani mwishowe si utaniambie nije na sahani kabisa lol. [emoji12] [emoji12]
Leo sitoki.[emoji8][emoji8][emoji8] asante my husband
Pasaka njema Baba P.
Leo hamna kutoka nyumbani lakini
Mke wako amesema Mimi huwa nakula sana.dark angel utakaribia saa ngap??
Hahah hapana dada eve, si kwasababu upo mbalii. Nitaka nifaidh hata kwa ivo tuuPicha ya pilau kwa juice, kaka angu mpare nini ha ha ha
Duh...! We njoo tuu. Mwanangu amekumissMke wako amesema Mimi huwa nakula sana.
Hajaniweka kwenye budget shemeji.
Mshana hajambo?Karibuuu shemu wanguView attachment 731346
Wewe njoo moja kwa moja nyumbaniMimi mbona hujanitakia happy Easter