Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Ule uzi nitakupa siri kwanini anaukandia
Hamna ule uzi kwangu ni kama home, hata sku hizi naona watu wana pungua kuja je nikisema yeye ndio ana tuchafua atakataa?
Hata wewe sometimes huwa una kuja tuna enjoy je siku ukiacha kuja nitamtazamaje yy?

Muonye bhana mi huwa na mshow love sana sijakubaliana na hilo.ukiusema usiku wa manene unaisema familia yangu.
 
Wewe bado hujapata jimbo humu kwani?
 
Hahah! poa mkuu usijari hili swala nitalifanyia kazi
 
Khaaaa lini niliwaandikia thread ha kuuponda ule uzi woiiiiii jamani ebu endeleeni na uzi wenu muwe na jamani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…