The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Kwanini?
We acha tu. Wanaume tuna mioyo migumu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini?
Hamna ule uzi kwangu ni kama home, hata sku hizi naona watu wana pungua kuja je nikisema yeye ndio ana tuchafua atakataa?Ule uzi nitakupa siri kwanini anaukandia
Ndio ujitahidi babe usinikwazeKweli kijana yupo deep
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weka pichaShunie sisi wengine ni walinzi ujue
Hehehee ina sound aje tena shem...Aisee!! Nilikua naiwaza id yako inasound vp bora nimekuona... Nakutakia pasaka njema
Shunie ana zinguahivi una nini lakini shunie?
Nani kakwambia kule watu wana stress na upweke[emoji23][emoji23]
Me mdau kule
Pole mwaya.We acha tu. Wanaume tuna mioyo migumu sana
Babe pls usitoe siri ambazo tunaongea tukiwa wawiliUle uzi nitakupa siri kwanini anaukandia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baba yeyoo haelewi
Khaaaaa msiniharibie jamani nimeingia miguu miwili hapo nikiachika nakufwa baba yeyoo una nini lakini
Nilipo mskia sku ya kwanza nilijua aa nitania mtani wakeEti anaita uzi wa mastress na upweke
Wewe bado hujapata jimbo humu kwani?Hamna ule uzi kwangu ni kama home, hata sku hizi naona watu wana pungua kuja je nikisema yeye ndio ana tuchafua atakataa?
Hata wewe sometimes huwa una kuja tuna enjoy je siku ukiacha kuja nitamtazamaje yy?
Muonye bhana mi huwa na mshow love sana sijakubaliana na hilo.ukiusema usiku wa manene unaisema familia yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachukue wote Davet ni wangu nitaua au nitasafiri kwenda tanga[emoji23] [emoji23] [emoji23] inabidi uje chemba tuongee unipe mmoja mtanga mwenzangu
Haya leta linkNdiyo
Hahah! poa mkuu usijari hili swala nitalifanyia kaziHamna ule uzi kwangu ni kama home, hata sku hizi naona watu wana pungua kuja je nikisema yeye ndio ana tuchafua atakataa?
Hata wewe sometimes huwa una kuja tuna enjoy je siku ukiacha kuja nitamtazamaje yy?
Muonye bhana mi huwa na mshow love sana sijakubaliana na hilo.ukiusema usiku wa manene unaisema familia yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We acha tu. Wanaume tuna mioyo migumu sana
Khaaaa lini niliwaandikia thread ha kuuponda ule uzi woiiiiii jamani ebu endeleeni na uzi wenu muwe na jamani kabisaHamna ule uzi kwangu ni kama home, hata sku hizi naona watu wana pungua kuja je nikisema yeye ndio ana tuchafua atakataa?
Hata wewe sometimes huwa una kuja tuna enjoy je siku ukiacha kuja nitamtazamaje yy?
Muonye bhana mi huwa na mshow love sana sijakubaliana na hilo.ukiusema usiku wa manene unaisema familia yangu.
D naomba tukalaleShunie ana zingua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani wewe ni muuwajiPole mwaya.
Natamani nijue kosa languEbu mwambie carba apunguze si unaipenda