Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe huwa unapanick woiiii
 
Mgande mpaka aje ndo atakua katengua kauli mi baba mizima kutucheka si jambo la kufumbia macho
 
Sasa mtu kama hauna stress carba unakeshaje jamani jf kwenye uzi wa usiku mnene
Wewe kama hukeshi unahangaika na nini, na kwa taarifa yako hapa jf wanakesha watu kwenye nyuzi mbali mbali kwa nini usiwaseme hao, there we are family, tunapendana ambaye ana tu diss akae pembeni ila asitusema.
Acha hate ndugu yangu
 
Khaaa iceman sitaki kuamini upo serious ninavyo kuheshimi acha nitoke
 
Khaaaa lini niliwaandikia thread ha kuuponda ule uzi woiiiiii jamani ebu endeleeni na uzi wenu muwe na jamani kabisa
Siyo lazima uanzishe thread, unaongea hayo maneno yako mara nyingi tuu.
Leave us alone we will leave you alone pia
 
Picha ya ulinz ndio watu mnapanick basi kweli mpo na stress na maupweke mambo za chit chat unachukulia serious acha nilale mie D wangu tukalale
Usichukulie vitu serious hivyo shunie,jf hii utapata ugonjwa wa moyo bure.
 
Siyo lazima uanzishe thread, unaongea hayo maneno yako mara nyingi tuu.
Leave us alone we will leave you alone pia
Iceman sikujuwa kama unachukulia serious woiiii naomba unisamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…