Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Take it easy bby
 
Huku ni kupeana madharu bro
Kila mtu ana uzi wake kuna wengine wanaoenda MMU je mfano ikiwa nikiwahisi ni malaya ni lazima niseme? Si nna potezea tuu na nakuwa sichangii? maana hata kama nawatania ni jambo ambalo lina wagusa.

Uzi wetu uachweee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eshakua mtani ujue ha haa ule wimbo wa young d ungekua ushatoka kipindi kile ingekua kushnei.mana alinambiaga kiutani utani ni kakaza ningeshika namba 1 asaivi.
Mzoeee.
 
Iceman 3D na Shunie naona kama hili jambo linataka kuleta ukakasi. Kwa heshima na taadhima niliyonayo kwenu watu wangu wa nguvu. Naamini hii ilikua ni utani lakini pia tumeshaelewana kuhusu huo uzi.

Tuendelee kusherehekea Pasaka, kuvumiliana, kusameheana, kuchukuliana na kubwa zaidi kupendana
 
Ameen Samaritan me nilikuwa kwenye mambo za utani yaani sikutegemea itakuwa hivi anisamehe tu jamani baba yeyoo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eshakua mtani ujue ha haa ule wimbo wa young d ungekua ushatoka kipindi kile ingekua kushnei.mana alinambiaga kiutani utani ni kakaza ningeshika namba 1 asaivi.
Mzoeee.
We ni mwanaume acha mambo za kike mxciuuue
 
Huku ni kupeana madharu bro
Kila mtu ana uzi wake kuna wengine wanaoenda MMU je mfano ikiwa nikiwahisi ni malaya ni lazima niseme? Si nna potezea tuu na nakuwa sichangii? maana hata kama nawatania ni jambo ambalo lina wagusa.

Uzi wetu uachweee!
Ndiwooo uachwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…