Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Wewe toka umenifahamu uliwahi kuona nakulalamikia mimi ni mpweke au nna mawazo?, okey lets say niko single, kwani alo kwambia kuwa kwenye ndoa ni achevement nani? Mbona walio kwenye ndoa nao wana stress tupu! Ule uzi ni ndugu zangu wale, unavo tusema una achieve nini? Je wewe nikitaka ni ziquestion nyuzi zako na wasomaji wako unadhani siwezi? Utajiskia poa?
Kama una mtu una ugonvi naye kule deal naye yeye kama yeye dont drag my good people in your conclusions.

Ule uzi una beautiful people kama hau upendi usitu insult

Am angry!!!
Take it easy bby
 
Huku ni kupeana madharu bro
Kila mtu ana uzi wake kuna wengine wanaoenda MMU je mfano ikiwa nikiwahisi ni malaya ni lazima niseme? Si nna potezea tuu na nakuwa sichangii? maana hata kama nawatania ni jambo ambalo lina wagusa.

Uzi wetu uachweee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eshakua mtani ujue ha haa ule wimbo wa young d ungekua ushatoka kipindi kile ingekua kushnei.mana alinambiaga kiutani utani ni kakaza ningeshika namba 1 asaivi.
Mzoeee.
 
Iceman 3D na Shunie naona kama hili jambo linataka kuleta ukakasi. Kwa heshima na taadhima niliyonayo kwenu watu wangu wa nguvu. Naamini hii ilikua ni utani lakini pia tumeshaelewana kuhusu huo uzi.

Tuendelee kusherehekea Pasaka, kuvumiliana, kusameheana, kuchukuliana na kubwa zaidi kupendana
 
Ameen Samaritan me nilikuwa kwenye mambo za utani yaani sikutegemea itakuwa hivi anisamehe tu jamani baba yeyoo
 
Huku ni kupeana madharu bro
Kila mtu ana uzi wake kuna wengine wanaoenda MMU je mfano ikiwa nikiwahisi ni malaya ni lazima niseme? Si nna potezea tuu na nakuwa sichangii? maana hata kama nawatania ni jambo ambalo lina wagusa.

Uzi wetu uachweee!
Ndiwooo uachwe
 
Back
Top Bottom