Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Khaaaaaaa we baba yeyoo jamani sikufati pm mm nakukupa asante

Mama yeyoo huo ni wimbo tu wa Nandy. Mie na wewe tumetoka mbali.

Mambo ya huku huwa yanabaki hukuhuku na mengine yanaishia kulekule. Hapa JF tunaburudika tu.
 
Mama yeyoo huo ni wimbo tu wa Nandy. Mie na wewe tumetoka mbali.

Mambo ya huku huwa yanabaki hukuhuku na mengine yanaishia kulekule. Hapa JF tunaburudika tu.
Ndio mana nakupenda mie [emoji8][emoji8] tulipotoka ni mbali
 
Nawatakia Pasaka njema:
Rais na Mama Magufuli
Kassim Majaliwa na familia yake
Makamu wa rais na familia yake
Mh. Waziri Kigwangalla na familia yake
Mh. Mbarawa na familia yake
Mh. Ummy Mwalimu na familia yake
Mh. Mshana Jr
Mh. Jamaa_Mbishi
pamoja na wana JF wote wanaojitambua.
 
Ubarikiwe nashukuru mkuu
 
Na kwako pia blaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…