Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaaaa we baba yeyoo jamani sikufati pm mm nakukupa asanteNitapona mdogomdogooo nitapona. Ndio maana hata nikileta zawadi hausemi ahsante.
Sema kweli kumbe wachaga nao huwa unawapendaNyokooo. Ukiacha wakurya wangu nina beb mmoja tu wakichaga
Asante kaka akee na kwako piaShunie,Numbisa,mzigua 90,carp,kichwa kichafu nawatakia pasaka njema
Unanielewaje tena?
KwendraaaaaaKwani umechukia?
Duh
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwendraaaaaa
Wasalime mxxxiuuue we unaona iceman kapanick bada ya kumpoza unachochea unakuwa kama sio mwanaume[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Khaaaaaaa we baba yeyoo jamani sikufati pm mm nakukupa asante
Asante mkuu. Na kwako piaShunie,Numbisa,mzigua 90,carp,kichwa kichafu nawatakia pasaka njema
Nawapenda kwa sababu sio wachoyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila wakurya damu damuSema kweli kumbe wachaga nao huwa unawapenda
Nimekuelewa. Naomba hela ya sikukuuSasa hapo hauelewi nini kwa mfano, mtu akikwambia amekuelewa unaipokeaje hiyo kauli?
Ndio mana nakupenda mie [emoji8][emoji8] tulipotoka ni mbaliMama yeyoo huo ni wimbo tu wa Nandy. Mie na wewe tumetoka mbali.
Mambo ya huku huwa yanabaki hukuhuku na mengine yanaishia kulekule. Hapa JF tunaburudika tu.
Mbona wachaga ni bahili mnooo jamaniNawapenda kwa sababu sio wachoyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila wakurya damu damu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuelewa. Naomba hela ya sikukuu
Ubarikiwe nashukuru mkuuMy sweet babe mumu [emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]
Mzigua90[emoji9][emoji9][emoji9]
Sakayo
Maserati
Kasie
Neybright
Shunie
emmyta
Demiss
Sky Eclat
jakitoo
Hajar
Numbisa
jje's
Jolie Jolie
Nalendwa
inna
ledada
Mahondah
Iceman 3D
Mwifwa
Davet
Kichwa Kichafu
joseverest
BAK
Vladmirovich putin
hearly
Nokia83
RRONDO
Saint Ivuga
Smart91
Mshana Jr
Daby
Asprin
usser
Wengine ID zenu ngumu kuziandika lkn nawapenda na nawakumbuka maana comment zenu ni burudani tosha.[emoji1][emoji1][emoji1]
Pasaka njema kwa wana JF wote...asanteni kwakunifanya niwe tofauti [emoji4][emoji4][emoji4]
Amani ya BWANA iwe nawe.Sakayo
Kichwa kichafu
Hajar
Yna 12
Dada Nahuja
Minah
Dinazarde
Mama sabrina
Mbalizi1
Babu Asprin
Bujibuji
Bila kumsahau Gudume
Mkuwe na pasaka njema wapendwa
Na kwako pia blaza.Na penda kutuma salamu za pasaka kwa wafuatao
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Demiss na Mshana Jr
usser
Afande Mifwa
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Ahsanteni woote kwa upendo mnao nionesha nawakubali saaana wengine mmekuwa ndugu zangu kabsa humu.
Special thanks kwa ndugu zangu woote wa, threads za
Usiku wa manane -nna wathamini sana nyie watu
Hadithi zote za Shunnie
Real Madrid na Barcelona
Man utd na Juventus
Yanga