Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
kwann lakini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo inaitwa kimya kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwann lakini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hiyo inaitwa kimya kimya
haya ban sina neno mieusiumie tafadhali, nilikukukumbuka sana, kuandika ID yako ilikua mtihani.
Puliiiiiz dont be sad plz plz
naomba uwe na neno hata moja tu ukhutyhaya ban sina neno mie
kuwa na amani tu swahib siwanijua mim sina maneno menginaomba uwe na neno hata moja tu ukhuty
Twakupenda pia demmis...sikukuu njema na kwako piaNimechelewa kuwatumia salamu mnisamehe kwa hilo jamani majukumu ya ndoa yananipenda zaidi.
Nianze na mme wangu anayenifanya niwe na raha kwenye dunia hii Mr Mshana Jr jua nakupenda na ninakupenda sana tu mimi ni wako baba usiwe na shaka.
Pamoja na watu wangu wa nguvu wafuatao nawakubali sana
Kipenzi rafikiiii Mwifwa
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Cajojo
usser
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Na wengine wotee majina magumu jaman mnisamehe .
Asante mama P.Mimi , Mume wangu sumbai na mtoto wetu P ambaye ni zao la Jf tunawatakia pasaka njema ( kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo)
Wakati Yesu anafufuka akafufuke, na Afya zenu zilizozikwa na wachawi, Mali (mafanikio yenu) , vizazi na baraka zote. Amen.
Sakayo
Shunie
Madame S na B wake
espy
dark angel
usser
Madame B
Na wengine wote.
Msisahau kukaribia nyumbani pia.
[emoji4][emoji4][emoji4] asanteekuwa na amani tu swahib siwanijua mim sina maneno mengi
Mi namtakia pasaka jpm
Duh! Huogopi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwann niliogope ,,
Kwenye family yetu umemsahau Dada yetu mmoja hapo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Asanteee sanaaa mme wakee JjTwakupenda pia demmis...sikukuu njema na kwako pia
JJ[emoji173]
asante sana Comrade"" asante mnooo kwa haya maneno mujarabu"" Mungu ajaalie malengo yako/Yetu yaweze kutimia pasipo uwepo wa vikwazo "" ......salute bossPalantir
zitto junior
hearly
Malcom Lumumba
Nawatakia Pasaka njema wakuu, tumekua pamoja na tutakua pamoja kwa Upendo wake Mungu.. Tuzidi kusambaziana Knowledge. Nawakubali sana kaka zangu
Barikiweni!
-Leonardo Da...
na mimi nakuja hukoNitag kwa ile mada yako ya tusemezane..
hahahaa eti ime zawadiwa.....kwann wanatufnyia hivi aisee"""Ndugu angu nilikua nimeandaa uzi ulioshiba hasa kuhusu hio kitu na some details kuhusu mada yako ya biblia. Nilipo i launche ile thread ikapelekwa jukwaa la dini na kuzawadiwa BAN ya wiki mpaka j5
Ila hamna shida till we are together..
L. Dav...
Ahsante sana mke ake Jr.Nimechelewa kuwatumia salamu mnisamehe kwa hilo jamani majukumu ya ndoa yananipenda zaidi.
Nianze na mme wangu anayenifanya niwe na raha kwenye dunia hii Mr Mshana Jr jua nakupenda na ninakupenda sana tu mimi ni wako baba usiwe na shaka.
Pamoja na watu wangu wa nguvu wafuatao nawakubali sana
Kipenzi rafikiiii Mwifwa
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Cajojo
usser
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Na wengine wotee majina magumu jaman mnisamehe .
Pole sana Dada yangudaah meumia hata wew umenikumbuka page za mbali hivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante,
umemuachia nani nyumba?[emoji20]
umefunga milango?
Naskia uliachiwa nyumba ukuwe mlinzi nyumba isibaki peke yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Braza ilibidi nije nitoe salam narudiii