Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Babu mimi nawatakia Pasaka njema wajukuu zangu wote katika jukwaa hili. Woooote.... yaani hata kwa wale mashabiki wa Yanga...

Heri ya Pasaka ya pekee iende kwa mke wangu Sky Eclat na mchepuko wangu wa hiari na wa kudumu Sakayo

Kristo amefufuka kwelikweli, Haleluya!
Asante sana babu mchepuko wake dada sakayo iwe njema na kwako pia
 
Na penda kutuma salamu za pasaka kwa wafuatao

Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Demiss na Mshana Jr
usser
Afande Mifwa
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat

Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Ahsanteni woote kwa upendo mnao nionesha nawakubali saaana wengine mmekuwa ndugu zangu kabsa humu.

Special thanks kwa ndugu zangu woote wa, threads za
Usiku wa manane -nna wathamini sana nyie watu
Hadithi zote za Shunnie
Real Madrid na Barcelona
Man utd na Juventus
Yanga
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] roho yake dada sakayo shukrani sana
 
My sweet babe mumu [emoji9][emoji9][emoji9][emoji9]

Mzigua90[emoji9][emoji9][emoji9]
Sakayo
Maserati
Kasie
Neybright
Shunie
emmyta
Demiss
Sky Eclat
jakitoo
Hajar
Numbisa
jje's
Jolie Jolie
Nalendwa
inna
ledada
Mahondah

Iceman 3D
Mwifwa
Davet
Kichwa Kichafu
joseverest
BAK
Vladmirovich putin
hearly
Nokia83
RRONDO
Saint Ivuga
Smart91
Mshana Jr
Daby
Asprin
usser

Wengine ID zenu ngumu kuziandika lkn nawapenda na nawakumbuka maana comment zenu ni burudani tosha.[emoji1][emoji1][emoji1]

Pasaka njema kwa wana JF wote...asanteni kwakunifanya niwe tofauti [emoji4][emoji4][emoji4]
Chief asante sana na kwako pia
 
Back
Top Bottom