Uzi wa kupeana machimbo mbalimbali ya vifaa vya ujenzi na bei zake

Si kweli..nanunua hardware kabisa ata mfuko mmoja napata
Kumbuka jamaa kamdanganyia kwa usafiri. Mimi nimefanya ujenzi maeneo ya mwananchi tbt, cement wanauza 16000. Ila kigamboni kibada 14500.
So hata sehemu nyingine kiwa 17500 ni sawa.

Cha msingi na umuhimu kaokoa pesa hata kidogo.


Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
14,500/= kwa kibada ni camel cement ila nyati cement ni 14,700/= pale kwa tiger na jamaa wale wako jirani na njia panda ya mwasonga.
 
Ukiweka na Gharama za usafiri unaweza kuta bora ungenunua hapo hapo mtaani unapojenga.
 
Naomba kujua kwa dar wapi ntapata tiles kwa bei ya viwandani
Kuna jamaa yangu alinipa ujanja kuhusu tiles. Akasema sio mara zote tiles zinatakiwa zitumike zikiwa nzima bali kuna zenye zitakatwa kwa sababu moja ama ingine.

Sasa kuna tiles huuzwa kama rejected sababu tu tiles kadhaa zimepata hitilafu. Yaan kwenye box la tils 15 labda tiles 3 zimemeguka pembeni hivyo box zima linauzwa kama rejected Kwa bei nafuu.
 
So nikifika dukan niulize rejected tiles
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…