rich1
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,020
- 3,309
Mpaka ununue kuanzia mifuko 100...ndo unapata kwa hiyo bei.Wapi huko..cement inauzwa 14,500
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka ununue kuanzia mifuko 100...ndo unapata kwa hiyo bei.Wapi huko..cement inauzwa 14,500
Si kweli..nanunua hardware kabisa ata mfuko mmoja napataMpaka ununue kuanzia mifuko 100...ndo unapata kwa hiyo bei.
Kumbuka jamaa kamdanganyia kwa usafiri. Mimi nimefanya ujenzi maeneo ya mwananchi tbt, cement wanauza 16000. Ila kigamboni kibada 14500.Si kweli..nanunua hardware kabisa ata mfuko mmoja napata
14,500/= kwa kibada ni camel cement ila nyati cement ni 14,700/= pale kwa tiger na jamaa wale wako jirani na njia panda ya mwasonga.Kumbuka jamaa kamdanganyia kwa usafiri. Mimi nimefanya ujenzi maeneo ya mwananchi tbt, cement wanauza 16000. Ila kigamboni kibada 14500.
So hata sehemu nyingine kiwa 17500 ni sawa.
Cha msingi na umuhimu kaokoa pesa hata kidogo.
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Cement kuna ya 42 na 35 nadhan, pia kuna za viwanda tofaut. Mi nasemea Twiga Cement ya 42, we wasemea ipi?Wapi huko..cement inauzwa 14,500
Zinauzwaje hizo?ukiona unauziwa mbao kwa futi ujue umepigwa. Mbao za kuezekea nunua 4 x2 za futi 12 kwisha kazi
Lengo la huu uzi ni kusaidiana watu wapate bidhaa za ujenzi kwa bei rafiki, sasa wewe hutaji hata ni bati gani na ziko wapi watu watafaidikaje?Chimbo la bati
30g upana 90cm/m Bei 11,000
Bati za bando 30g upana 80cm urefu 10ft
Kwa 22,000 tu
Hizi 4 by 2 nilinunua shs 4500 BuguruniZinauzwaje hizo?
Ukiweka na Gharama za usafiri unaweza kuta bora ungenunua hapo hapo mtaani unapojenga.Naanza na Mimi
Nilipata mbao kutoka kwa Ustaadhi mmoja hivi pale Buguruni. Fundi wangu aliniambia nimtume yeye akachukue yeye kwa TZS 450/futi 2x2 na TZS 900/ft Kwa 4x2. Alisema nikienda mimi nitapewa mbao mbichi, zisizo na dawa au zenye vidonda.
Nilivyoenda mwenyewe nilipata kwa TZS 350 mbao za 2x2 na TZS 700 mbao za 4x2. Yawezekana najiona cheaper kumbe nami nimepigwa bado ila ni angalau kuliko hardware za hapo napojenga.
Bati geji 30 nilipata kwa TZS 11,500/mita kiwandani Dragon.
Hizi 4 by 2 nilinunua shs 4500 Buguruni
Kuna jamaa yangu alinipa ujanja kuhusu tiles. Akasema sio mara zote tiles zinatakiwa zitumike zikiwa nzima bali kuna zenye zitakatwa kwa sababu moja ama ingine.Naomba kujua kwa dar wapi ntapata tiles kwa bei ya viwandani
So nikifika dukan niulize rejected tilesKuna jamaa yangu alinipa ujanja kuhusu tiles. Akasema sio mara zote tiles zinatakiwa zitumike zikiwa nzima bali kuna zenye zitakatwa kwa sababu moja ama ingine.
Sasa kuna tiles huuzwa kama rejected sababu tu tiles kadhaa zimepata hitilafu. Yaan kwenye box la tils 15 labda tiles 3 zimemeguka pembeni hivyo box zima linauzwa kama rejected Kwa bei nafuu.
Yeah,Uzi rafiki
Shukran nimepata tiles kwa bei rafiki, tiles ni rejected but zipo kwenye hali nzr sn sn shukran sn
Bei Rafiki ni bei gani mkuu? Nilipata 40*40 kwa 23 coz monalisa nilienda ni 31 na baadhi ya maduka kariakoo 26, 25*40 nilipata kwa 16 na bado nikapunguziwa maana nilichukua nyingi kiasi