Uzi wa kupeana shuhuda mbalimbali za Waganga wa Kienyeji

M Mtafute Huyu 0767314587, yy anakufanyia kazi malipo mtalipana baada ya ww kufanikiwa hitaji lako, sasa ujifanye mjuaji utake kumdhulumu maji utaita mma.
 
Kivumbi leo
 
Mi natafuta mganga wa utajiri hata kama nitaishi muda mfupi ili afanikishe lengo la kuwa tajiri nipo serious mkuu.

Masharti yoyote nipo tayari kasoro la kutoa kafara ndugu wa karibu.

Kazaura tu Mkuu ktk utaftaji, badili michapamo tu kuna siku utajipata, kuna Mende mmoja Lindi huko anadai anatoa Utajiri, yeye kafara yake ni kishilingi tu, hutaki kutoa damu barida, yeye anakupa Option ya kikatili zaidi, kwamba kila mwezi unaenda kwake kupigwa mbupu! Sasa si u):$;;!:$:&! Huo! Kama tu mkuu utatoboa
 
Mtu mwenye assert zenye thamani zaidi mill 700 huyu naye unasema sio tqjiri tena ni mtu aliyetoka kwenye umasikini wakuishi nyumba ya mzazi wake akiwa na familia yake kiufupi jamaa uganga umemtoa kimaisha
I wish nijue maisha yake na familia yake!
 
Enheeee..SASA mkuu kipi nafuu, mganga masikini akufanyie mambo yako yanyooke au Pastor Tajiri anaezidi kukukamua hela na hakuna unachofanikisha??

Sijui nimeeleweka?
Bora Kaa kwako,soma neno la Mungu,muombee Mungu
 
Big No,Mungu hawezi kukujakia upate mganga!
Mungu hachangamani!
Waseme ukweli tu kuwa wakifanikiwa kupitia upande huo sio kumsingizia Mungu!

Lkn wapi wanaofanikiwa Kwa kumtegemea Mungu kabisa!
Tatizi hatutaki process,Kwa Mungu hakuna shortcut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…