Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Feb 12, 2023 #1 Wakati mwingine kuwa mzalendo ni kuvisaidia vyombo kuzima uhalifu kabla haujamature. Kumekuwa na ongezeko la panya road hasa dar es salaam. Sasa tutumie uzi huu kutaja machimbo yote na mitaa yote inayolea vijana wahalifu na wavuta bangi popote walipo Tanzania. Taja mkoa wilaya kata mtaa na vichochoro ambavyo hawa panya road wanakuwa incubated.
Wakati mwingine kuwa mzalendo ni kuvisaidia vyombo kuzima uhalifu kabla haujamature. Kumekuwa na ongezeko la panya road hasa dar es salaam. Sasa tutumie uzi huu kutaja machimbo yote na mitaa yote inayolea vijana wahalifu na wavuta bangi popote walipo Tanzania. Taja mkoa wilaya kata mtaa na vichochoro ambavyo hawa panya road wanakuwa incubated.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Feb 12, 2023 #2 Ngoja waje....
Wanama JF-Expert Member Joined Jun 12, 2021 Posts 277 Reaction score 319 Feb 12, 2023 #3 Ngja tuwamisslead sisi mapanya wawakilishi
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,292 Feb 12, 2023 #4 Tukishataja una connect vip hizo taarifa na police .kiluvya kuna mtaa msaki kwa Kweli kuna vijana wanasumbua sana
Tukishataja una connect vip hizo taarifa na police .kiluvya kuna mtaa msaki kwa Kweli kuna vijana wanasumbua sana
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Feb 12, 2023 Thread starter #5 Marire said: Tukishataja una connect vip hizo taarifa na police .kiluvya kuna mtaa msaki kwa Kweli kuna vijana wanasumbua sana Click to expand... Vyombo vyote vinasoma kila kitu humu jamiiforum ukishataja eneo wao watafwatilia na wakijiridhisha wataambush!
Marire said: Tukishataja una connect vip hizo taarifa na police .kiluvya kuna mtaa msaki kwa Kweli kuna vijana wanasumbua sana Click to expand... Vyombo vyote vinasoma kila kitu humu jamiiforum ukishataja eneo wao watafwatilia na wakijiridhisha wataambush!
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,203 Reaction score 28,789 Feb 12, 2023 #6 Ndugu polisi wanajua chimbo zooote,hua wanaendaga kufata pesa Kila wikiendi mwenye hizo chimbooo speaking from experience,tutajichosha tu hapa,mfano buguruni, vingunguti,kiwalani askari wanajua Kila kitu
Ndugu polisi wanajua chimbo zooote,hua wanaendaga kufata pesa Kila wikiendi mwenye hizo chimbooo speaking from experience,tutajichosha tu hapa,mfano buguruni, vingunguti,kiwalani askari wanajua Kila kitu
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,308 Reaction score 32,757 Feb 12, 2023 #7
M Monosex JF-Expert Member Joined Jun 10, 2017 Posts 923 Reaction score 1,695 Feb 12, 2023 #8 Sasa hao na wezi wana tofauti gani, wewe waelekeze tu kituo cha polisi hapo hapo.