Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Au Kuna ile unakuta siku hiyo umeamua kumpiga show mpaka anakimbilia room y watoto,,,,, unaanza mbembeleza kesho nakununulia chupi anajibu ulininunulia dazani juzi Hapa bado zingine sijavaa,,, unaamua mwambia basi tutajenga nyumba nyingine, unakuta anatabasamu anakwambia nimechoka mume wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwisho huwa namwambia njoo nikunyonye uchi japo dakika Moja ktkt y sucking unasikia basi malizia baby ila jitahidi umalize chap
 
Huwa napenda kuona Family photo, zinaficha madhaifu, ubaya na machafu yote ya ndoa.


Mfano.... kama hii familia.

Siri ya furaha yao wanaijua watoto na huyo baba na mama.

Oaneni tuwaombee mdumu humo hadi vitukuu viwakute.
 
• Saikolojia ya watoto wao huwa Vizuri zaidi.
• Kiwango cha wasiwasi hofu na mashaka kwa couple huwa chini kuhusu maisha yajayo kwenye eneo la mahusiano yao, wakati nje ya ndoa maswali ya kutokuwa na uhakika kama kweli anaridhika na wewe na kama atakuwa tayari kuendelea na wewe au la ni mengi.
• Hausikii kujuta au hukumu kwenye tendo la ndoa na mwenzi wako,vipi huko nje ya ndoa si na wasiwasi ni mkubwa na lazima kwenda kutubu kwani ni dhambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…