GEMBESON
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,463
- 3,193
Ndio mkuu, hicho kijicho kinadhihirisha jinsi mke alivyo makini kumchunga mumewe asitamani vya wengine.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hiyo 2 nimecheka, kumbe nayo ni faida ya ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu, hicho kijicho kinadhihirisha jinsi mke alivyo makini kumchunga mumewe asitamani vya wengine.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hiyo 2 nimecheka, kumbe nayo ni faida ya ndoa
Alafu ukute ana mashine ya kutosha na nguvu kama zotee.....Ukiwa na hamu ya kugegedwa hupati stress yaani unajisevia tu muda wowote, halali yako
Kujunjana, muhimu sana hii kitu [emoji39][emoji39][emoji39]
Hoja imepita bila kupingwaEeeh muhimu sana
Haya ndo marurupu ya ndoaniAlafu ukute ana mashine ya kutosha na nguvu kama zotee.....
Nasumbuliwa nimuoee ili afaidi zaidi..... [emoji3] [emoji3]
Mume anafaidi vitamu eeehUkiwa na hamu ya kugegedwa hupati stress yaani unajisevia tu muda wowote, halali yako
Yaan anapembua kama yoteMume anafaidi vitamu eeeh
Oa kwani unasubiro nini?Alafu ukute ana mashine ya kutosha na nguvu kama zotee.....
Nasumbuliwa nimuoee ili afaidi zaidi..... [emoji3] [emoji3]
Hapo jamaa anasasambua vilivyo. Sii unaona mrembo mwenyewe anavyovutia na kasura kakeYaan anapembua kama yote
Hahah hapo kenye umbea pataaM hapo ndipo mipango hufanyikaNdoa raha bhana,kuoga pamoja/kupunguzana misitu sili mpaka arudi tule pamoja,silali mpaka arudi nyumbani,umbea sasa ndousiseme namuhadithiaga mpaka anasahau nilipoanzia na usingizi anapata[emoji16][emoji16][emoji16]
Kingsmann
Sijawahi kujua nasubiri nn...Oa kwani unasubiro nini?
Ila kuna machizi wanasema kwani lazima kuolewa bana? I can pay my own bills!Na haina kukwepa kuwa ndoa kwa mwanamke inampa heshima sana sana,