Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Utaona furaha ya ndoa iwapo tu umefunga ndoa na mtu sahihi na kuiongezea sukari ndoa upendo,uvumilivu na uaminifu ndo viwe n'nanga, hapo ndoa itakuwa ya amani na furaha.Hata zikija changamoto kwasababu ndoa imejengwa kwenye msingi imara nayo itadumu.
 

😆😆😆😆😆

Soseji unaenda mfatia/ mletea

Ila manywele ya njano ayatoe aahahahahahahahhahahaaa

You must be friends after/before being lovers....
Enjoy your marriage bro.
 
Watu wengi sana wanakuja kulalamika humu kuwa hawapati papuchi japo wapo kwenye ndoa. Mtu unapata papuchi kama mshahara, once a month...damn..

Ushahidi, hii thread hapa chini ina kama wiki tu tangu iwekwe
Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu
 
Ndoa raha bhana,kuoga pamoja/kupunguzana misitu sili mpaka arudi tule pamoja,silali mpaka arudi nyumbani,umbea sasa ndousiseme namuhadithiaga mpaka anasahau nilipoanzia na usingizi anapata[emoji16][emoji16][emoji16]

Kingsmann
mnapendaga sana kuhadithia umbea then mkikatizwa mnakasirika
 
haya mzee kula maisha... inaonekana anakupenda sana
 
Ukihitaji mtu wa kumweleza shida zako, hofu yako, huzuni yako, mawazo yako, furaha yako au hata mipango yako huna haja ya kumpigia shost, unamsubiri babe akirudi unaanza kumweleza, unadekezwa, unashauriwa, unatiwa moyo, na unnapata support ya kutosha
Kwenye bongo movie wanasemaga SAPOTA😂😂😂
 
Hakika mkuu, mimi ni nani nikupinge. Kila ndoa ina uniqueness yake, lakini uchumi ukikaa vibaya ndani ya nyumba ni shida mkuu.
Yaani hizi kauli hamjui kuwa mnakuwa mnaanika aina ya wanawake mlionao huko majumbani, hatuna mapito ya kufanana Eli,
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Soseji unaenda mfatia/ mletea

Ila manywele ya njano ayatoe aahahahahahahahhahahaaa

You must be friends after/before being lovers....
Enjoy your marriage bro.
We acha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…