Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Uzi wa kushuhudia mazuri ya kwenye ndoa, Tuyaweke pembeni yale mabaya yanayowatia hofu watu wasioe au kuolewa

Utaona furaha ya ndoa iwapo tu umefunga ndoa na mtu sahihi na kuiongezea sukari ndoa upendo,uvumilivu na uaminifu ndo viwe n'nanga, hapo ndoa itakuwa ya amani na furaha.Hata zikija changamoto kwasababu ndoa imejengwa kwenye msingi imara nayo itadumu.
 
Hapa ulichoandika ni Kama kwamba ndoa zote Ni kaburi/majanga. Sio kweli.
Mimi mwenyewe nipo kwenye ndoa, tunapata changamoto za hapa na pale, tunazozana, makofi yanapigwa, nanuniwa wiki lakini yanaisha maisha yanaendelea, tunafurahia.
Nothing of value is cheap asee.
Hapa nipo nafata soseji za wife (anapenda Sana soseji) wakati huohuo nimemwachia maagizo kuwa akanyoe nywele au afanye lolote kutoa marangi ya nywele ya njano (ameweka bila kuniambia na sipendi).
So ndoa Zina pande mbili, Furaha na huzuni. Mnapaswa kutafuta fumbuzi za changamoto zenu mkuu.

😆😆😆😆😆

Soseji unaenda mfatia/ mletea

Ila manywele ya njano ayatoe aahahahahahahahhahahaaa

You must be friends after/before being lovers....
Enjoy your marriage bro.
 
Sindio hapo 😀😀

Eti kuna Mtu nimeona ka comment ukioa unauhakika wa kupewa papuchi /dushe wakati wowote ,, wakati Kuna watu wanalazwa mzungu wa 4 daily , Nina jamaa yangu huyo alikuwa hapewi papa na mkewe takribani miezi hata 4 na siku akipewa anapewa kwa masimango utadhani mtoto wa kambo vile 😀😀
Watu wengi sana wanakuja kulalamika humu kuwa hawapati papuchi japo wapo kwenye ndoa. Mtu unapata papuchi kama mshahara, once a month...damn..

Ushahidi, hii thread hapa chini ina kama wiki tu tangu iwekwe
Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu
 
Ndoa raha bhana,kuoga pamoja/kupunguzana misitu sili mpaka arudi tule pamoja,silali mpaka arudi nyumbani,umbea sasa ndousiseme namuhadithiaga mpaka anasahau nilipoanzia na usingizi anapata[emoji16][emoji16][emoji16]

Kingsmann
mnapendaga sana kuhadithia umbea then mkikatizwa mnakasirika
 
Nimekaa nae more than 10 years,,,, hata Master's yangu yeye Amelia sehemu y mafanikio yake by the way true n form four level,,,,pia and mapungufu but naomba mungu anipe ujasiri Ili niyashinde,,,,

NB kesho nampeleka clinic n mtoto Wetu WA Tatu ambaye anafunga mwezi kamili kesho.....

So just Tulia kijana tafuta w kukufaa kulingana n Maisha yako ,,,Kwa mke hatuangalii matako brthr
haya mzee kula maisha... inaonekana anakupenda sana
 
Ukihitaji mtu wa kumweleza shida zako, hofu yako, huzuni yako, mawazo yako, furaha yako au hata mipango yako huna haja ya kumpigia shost, unamsubiri babe akirudi unaanza kumweleza, unadekezwa, unashauriwa, unatiwa moyo, na unnapata support ya kutosha
Kwenye bongo movie wanasemaga SAPOTA😂😂😂
 
Hakika mkuu, mimi ni nani nikupinge. Kila ndoa ina uniqueness yake, lakini uchumi ukikaa vibaya ndani ya nyumba ni shida mkuu.
Yaani hizi kauli hamjui kuwa mnakuwa mnaanika aina ya wanawake mlionao huko majumbani, hatuna mapito ya kufanana Eli,
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Soseji unaenda mfatia/ mletea

Ila manywele ya njano ayatoe aahahahahahahahhahahaaa

You must be friends after/before being lovers....
Enjoy your marriage bro.
We acha tu.
 
Back
Top Bottom