Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
Utaona furaha ya ndoa iwapo tu umefunga ndoa na mtu sahihi na kuiongezea sukari ndoa upendo,uvumilivu na uaminifu ndo viwe n'nanga, hapo ndoa itakuwa ya amani na furaha.Hata zikija changamoto kwasababu ndoa imejengwa kwenye msingi imara nayo itadumu.