Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
😂😂😂Lugha za kujifariji hizo,Ila kuna machizi wanasema kwani lazima kuolewa bana? I can pay my own bills!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Lugha za kujifariji hizo,Ila kuna machizi wanasema kwani lazima kuolewa bana? I can pay my own bills!
Hahahaha wajuba tuna Experiente za kutosha 😹!!!One thing MUST remain constant...PESA!
Oa halafu upigike, dadeq.
Hawa unaoona wanazifurahia ndoa ujuwe tu kuwa the man can provide. Anayeweka pesa nje ya equation muangalie tena...Hahahaha wajuba tuna Experiente za kutosha [emoji81]!!!
Ndoa ili iwe imetulia lazma mpunga uwe adjacent na matatizo!
Huu ndio ushuhuda sasa.Ukiwa na hamu ya kugegedwa hupati stress yaani unajisevia tu muda wowote, halali yako
Hoja ya msingi sana hiiOne thing MUST remain constant...PESA!
Oa halafu upigike, dadeq.
Huu uzi unaogofya, mie kwenye kuoa nipeni mi5 tenaHuu Uzi haunifai [emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3]Huu uzi unaogofya, mie kwenye kuoa nipeni mi5 tena
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]One thing MUST remain constant...PESA!
Oa halafu upigike, dadeq.
[emoji3][emoji3] Usithubutu kuhadaika na hizi shuhuda , Ndoa Ni kaburi linalotembeaKumbe ndoa ni asali na maziwa namna hii? Ila ombeni hela ziwepo tu
Kumbe ukimuoa tu anageuka kuwa room mate siyo soul mate.Alafu ukute ana mashine ya kutosha na nguvu kama zotee.....
Nasumbuliwa nimuoee ili afaidi zaidi..... [emoji3] [emoji3]
Mkuu, Mada imelenga kuongea mazuri tu. Labda tufungue uzi mwingine wa mabaya ya kwenye ndoa ndio tuanze kututiririka na habari za kaburi na kuchomana na gunia la mkaa.[emoji3][emoji3] Usithubutu kuhadaika na hizi shuhuda , Ndoa Ni kaburi linalotembea
Mkuu hebu oa haraaka saana.Huu Uzi haunifai [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] Usithubutu kuhadaika na hizi shuhuda , Ndoa Ni kaburi linalotembea