Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
haaaaha..Weee kaka unatujazia server
Nikutoe nn Tena jaman
Hatujaolewa bado ahahahUtashangaa mnatuma picha ya mahndsome but waume zenu hamuwaweki..sijui tamaa itaisha lini
sasa wanavutia halafu hawana Pesa mkuu..mbona mnatuchanganya ..mmeshaanza kuwa kama mvua na jua..Wewe wakaka wenye muscles wanaongoza jamani kwa kuvutia jamani ila wakizidi kama mwarabu wa dai sivutiwi kabisa
Unaona watu walivyo na roho mbayaa ahhaahahhaaaaha..
Lazma nikutafuteHatujaolewa bado ahahah
mnooo aiseee ..hawamkawizi mtu hahaa..yaani wanawapa watu vidonge live daahUnaona watu walivyo na roho mbayaa ahhaahah
Vyote tunataka ,sasa wanavutia halafu hawana Pesa mkuu..mbona mnatuchanganya ..mmeshaanza kuwa kama mvua na jua..
hebu tuambieni Mnataka Pesa kwetu au muscles
Nimecheka sana hornet mbayaaaaamnooo aiseee ..hawamkawizi mtu hahaa..yaani wanawapa watu vidonge live daah
wewe mtu ujue sikuelewi kabisa. kwema lakini?Hata kama hela sio hivyo. Hata mtu awe na hela huwa nachagua mimi.
kuna yule Jamaa wakuitwa MAGID MIKEL BWANAAA . ..HEBU MLETE HAPAView attachment 689138 ramsey noah nae sio haba
aiseee ukiwa navyo vyote hivyo ..halafu bado ukawa na kibamia pia tabu..daahh muwe mnatuonea huruma wakuuVyote tunataka ,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa chenye kichwa.