Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Screenshot_2018-02-02-09-11-09.png
Idris Elba jamani
 
Wewe wakaka wenye muscles wanaongoza jamani kwa kuvutia jamani ila wakizidi kama mwarabu wa dai sivutiwi kabisa
sasa wanavutia halafu hawana Pesa mkuu..mbona mnatuchanganya ..mmeshaanza kuwa kama mvua na jua..
hebu tuambieni Mnataka Pesa kwetu au muscles
 
Back
Top Bottom