Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Mwanaume akishakua na ndevu akajua jinsi ya kuziweka automatic anakuwa handsome
f6fe7e554dea23fd8201ed4b139a6083.jpg
 
Ayaaaaaa kuna mwingine huyu hapa aliigiza captain America mwanaume mzuri huyuuuView attachment 689127 anaitwa chris Evans najuta kuzaliwanTz mimi ningezaliwa mbele huku hawa ningewasaka mpaka nikawapata wanaume mahb wengi wapo Mamtoni huko
Basi tu acha nipambane na Docta
Jaman usjali Wewe pambana na dr tu ila huyo mzungu nikimpata nakuwa nampapasa nywele tu zimenivutia sanaa
 
Back
Top Bottom