21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
Ukiuliza swali la kijinga unapata jibu la kijinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atukuzwe aliyetuumba maana aliona mbali.Hivi vuzi zina kazi gani mwilini?
Hawa majiniasi wamejificha sana ndo maana hatusongi mbelekuna huyu mwingine.
View attachment 804331
Nyasi zina kazi gani shambani?Hivi vuzi zina kazi gani mwilini?
hahahahaah ndio yeye aisee namuona anarusha mawe kama hana akili nzuriHiyo avatar yako yule wa mwisho kabisa ni wewe?
Sikujua kama una vituko namna hii.... nakupa tiketi ya kwenda kufundisha Alliens kule Space.Kivipi sasa na wakati mjusi guruguja ndiye aliyetoa posa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi John F Kennedy aliacha kuifundisha lini Arsenal?
Dah...ukitegemea jiwe lioze....utapata taabu sana...Hivi jiwe linaoza au linadumu milele?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si watoto tu hata watu wazima huulizana maswali ya kijinga. Hebu tuulizane. juzi kati nimepita sehemu nikakuta madingi wanaulizana.
"Eti Malaika ni ndege?". wakuu hivi Malaika ni ndege?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah...ukitegemea jiwe lioze....utapata taabu sana...
Nimekupa like lakini sijaambulia kituAsemwaye acholile kachola achole, acholile kachochora.
ILI UPIGWE SHIMOHivi kwann nilizaliwa mwanamke?
ANAZO TUMBONImunalove ana akili kweli??
VUZI NDIO HULOWA YENYEWE HUBAKI KAVU KWANI MAJI YANA TOKA KWENYE HIGH CONCETRATION KWENDA KWENYE LOW CONCENTRATIONHivi ukiwa unaogelea chupi hulowa?