Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

Uzi wa kuulizana maswali ya kijinga.

kuna huyu mwingine.
hhddQ1.png
 
Hivi vuzi zina kazi gani mwilini?
Atukuzwe aliyetuumba maana aliona mbali.

Vuzi hutumika pia kama mboga ladha yake ni kati kati ya matembele na sukuma wiki. Wengi waliojikuta hawana chakula hula mavuzi yao ili kusogeza muda wa kuishi mbele.

Pia mbinu hii hutumiwa na wanaonasa chini kwenye vifusi. Unashauriwa ule na nyusi pia.
 
Hivi ukiwa unalima mazao ya biashara itabidi usherekee Nanenane au sabasaba?
 
Si watoto tu hata watu wazima huulizana maswali ya kijinga. Hebu tuulizane. juzi kati nimepita sehemu nikakuta madingi wanaulizana.
"Eti Malaika ni ndege?". wakuu hivi Malaika ni ndege?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom