Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

Hii nimeipachika jina Inaitwa "Johannesburg 2100"

Maelezo...

Ni baada ya kutokea machafuko ya vita na magonjwa, Kizazi cha Binadamu kitapotea na Miji kuchakaa. Wanyama wa mbugani watasambaa mijini.
Najaribu kutafuta picha original ambayo niliitumia ila siioni. ila video wakati nikiitengeneza ipo.
 
Good work, huwa natamani siku niweze kutengeneza composition ya hivi ila iwe video...
Mwakani inabidi nirudi kwenye after effects aisee..
 
Good work, huwa natamani siku niweze kutengeneza composition ya hivi ila iwe video...
Mwakani inabidi nirudi kwenye after effects aisee..
nakushauri utumie unreal engine mzee, after effect itakusumbua
 
We n mbunifu sana,kapicha kaukutan umekapatia mno,na wasela wengi hazkosag picha kama hzo
 
Hii mbona kama picha ya kwel
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mimi mwenyewe huwa sielewi ni vipi niliweza kutengeneza kitu kali kama hiyo. Hayo majani yameongeza uhalisia sana.

Nimemiss sana kutengeneza haya madude, ngoja nijipange nirudi tena.
 
Niliisusa blender kwa muda, na kipindi hicho nilikuwa natumia v2.7 sasa nimerudi na nime update kwenda v2.9. Hii interface ni noma....yaani hapa nipo na struggle kuelewa kila kitu kipo wapi? Hotkey zimebadilika yaani tabu tupu...Hadi kuzoea sio leo....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
interfence imebadilika kwenye 2.8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…