Uzi wa kuweka picha zilizotengenezwa na kompyuta

,
5a9aec9c-2298-4a81-a83a-ec6ed3ff0b74.jpg
 
interfence imebadilika kwenye 2.8
Yeah, ila mimi siku'update, nadhani mahaba kwa 2.7 yalinizidi sana. Nimetumia muda wa saa kadhaa kuichunulia chungulia....aisee, jamaa wamefanya kitu kikubwa sana aisee....imekuwa bomba sana na rahisi zaidi.
 
Niliisusa blender kwa muda, na kipindi hicho nilikuwa natumia v2.7 sasa nimerudi na nime update kwenda v2.9. Hii interface ni noma....yaani hapa nipo na struggle kuelewa kila kitu kipo wapi? Hotkey zimebadilika yaani tabu tupu...Hadi kuzoea sio leo....😂😂😂😂😂

View attachment 1633115

baada ya muda utaizoea tu. yani ni rahisi zaidi.
 
Yeah, ila mimi siku'update, nadhani mahaba kwa 2.7 yalinizidi sana. Nimetumia muda wa saa kadhaa kuichunulia chungulia....aisee, jamaa wamefanya kitu kikubwa sana aisee....imekuwa bomba sana na rahisi zaidi.
mm niliishia 2.8 kabla ya kupoteza pc. Ambapo ilikua last year kulikua na nyongeza nyingi Kama vile sculpting imeboreshwa video editing na imeiproviwa, kulikua na 2d animation. Sasa sijajua hiyo 2.9 ila niliona Andrew price anasema Kuna vitu vingi vimeongezwa since donors wameongeza mojo wapo ni kampuni ya Facebook inadonate 120k. Ko tutegemee mazuri
 
kikubwa kilichoongezeka 2.9 kwa upande wangu naona ni viewport denoising na manifold ambapo sahiv ukiishika face unaweza kuivuta bila kubonyeza extrude lakini vingine sioni labda wanatumia ma-pro.
 
mm niliishia 2.8 kabla ya kupoteza pc. Ambapo ilikua last year kulikua na nyongeza nyingi Kama vile sculpting imeboreshwa video editing na imeiproviwa, kulikua na 2d animation. Sasa sijajua hiyo 2.9 ila niliona Andrew price anasema Kuna vitu vingi vimeongezwa since donors wameongeza mojo wapo ni kampuni ya Facebook inadonate 120k. Ko tutegemee mazuri
Pole mkuu...
Japo mi sikuitumia 2.8, ila kiukweli hii tool imesogea mbele sana inakuja kuwa matata sana siku za usoni. Watu tunaotaka kujifunzs vfx tumepata chuma cha maana kwa bei ya sh. 0.
 
Car chase scene. Resolution ndogo kwasababu computer weak kidogo. Resolution kubwa inachukua muda mrefu sana. Sauti nimeweka Kutoka kwa premiere pro, nimezitoa youtube drifting videos za gari hii ya Mercedes.

Instagram https://www.instagram.com/masterkratos2/
 
Halfu nilikuwa nafikiria hii thread haipati engagements nyingi kwasababu ipo kwenye jukwaa ambalo sio sahihi.(jamii photos)( kwa maoni yangu.) kama ikiwezekana ingehamishwa kwenda jukwaa la tech. Au mnaonaje?.
 
Nadhani uko sahihi, kwa huku iko kama sehemu ya kuja kuangalia picha na kusepa but kule itakuwa na urahisi wa kupokea input flani za kiteknolojia hivyo kuboresha matokeo yake.

Ngoja tujaribu kuwaomba mods.
 
Work In Progress
View attachment 1350153View attachment 1350154

My first human character sculpting. Niliamua kumtengeneza huyu binti kwa ajili ya kuifanya iwe kama birthday tribute yangu kwa ex wangu ila nikabadili gia angani na nikaahirisha kuendelea na huo mpango[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa hivi nimeiacha kwanza, ila ninahitaji kufanyia kazi nywele na ngozi na baadhi ya vitu vichache ili awe tayari kwa mambo mengine kama kuwa character kwenye animation.
Wow. This is absolutely incredible.
 
Back
Top Bottom