Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itakuwa vizuri pia Brazil wakipata tabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itakuwa vizuri pia Brazil wakipata tabu
Mechi dakika 90[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
chai ya kwanza kuinywa hii hahaaNiliwahi kukaa miaka sita bila ya kushiriki tendo la ndoa...hata hivyo sikujisikia vibaya sana ukilinganisha na hizi wiki tatu za kukaa kifungoni bila ya kuwa na Uhuru wa kupitia kwenye mtandao niupendao! Hata hivyo Mungu ni mwema sana na wakati umekuwa mwamuzi mzuri zaidi! Na sasa najivunia kuwa nyuma ya keyboard kupeperusha bendera ya Uhuru wangu.
Ngoja tuone kama wataweza kubaki, naona mwaka huu hawajitambui kabisaMechi dakika 90
Ubishoo mwingi waleNgoja tuone kama wataweza kubaki, naona mwaka huu hawajitambui kabisa
Hiyo ndiyo shida kubwaUbishoo mwingi wale
Ngoja tuone na hii mechi kama wataenda kwenye matutaHiyo ndiyo shida kubwa
risechi ndo nn hta hvyo kuna memba nltman nkirud nkute washaptea !!!aahhhUzi wa kwanza ni wa Max bosi wa Jamiiforums.. muwe mnafanya risechi basi. Labda kama ni uzi wa memba.
Hii mpaka dakika hii wanaendaNgoja tuone na hii mechi kama wataenda kwenye matuta
Bado dakika 15Hii mpaka dakika hii wanaenda
Hahahahakuna mwana wangu hata mmoja alyenimiss ... usela mavi siutak kuanzia leo ... haha ha natania
Mimi nataka matutaBado dakika 15
nlkumiss nkakuota dahWoooooooozeeeer
Wakienda kwenye matuta, nafasi unampa nani?Mimi nataka matuta
DenmarkWakienda kwenye matuta, nafasi unampa nani?
Hahahaha sababu ya kipa au?Denmark
Kwenye penalti kipa ndio kila kitu,siumeona mwenyewe leo De Gea alivyofanya ujingaHahahaha sababu ya kipa au?
Modric naye amekosa hapaKwenye penalti kipa ndio kila kitu,siumeona mwenyewe leo De Gea alivyofanya ujinga