Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Uzi wa kwanza baada ya JamiiForums kurudi, ulimmiss nani na nini?

Niliwahi kukaa miaka sita bila ya kushiriki tendo la ndoa...hata hivyo sikujisikia vibaya sana ukilinganisha na hizi wiki tatu za kukaa kifungoni bila ya kuwa na Uhuru wa kupitia kwenye mtandao niupendao! Hata hivyo Mungu ni mwema sana na wakati umekuwa mwamuzi mzuri zaidi! Na sasa najivunia kuwa nyuma ya keyboard kupeperusha bendera ya Uhuru wangu.
chai ya kwanza kuinywa hii hahaa
 
hivi kila mtu akianzisha uzi wa mr au mrs flan am back hzo server ***** ngja na mm nianzshe yangu
 
Back
Top Bottom