Uzi wa ma-lastborn tu

Bila shaka utakuwa mkojoaji mzuri sasa hivi maana mafunzo ulishayapitia kitambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha! Mkuu ule ulikuwa utoto tu ni mapito kama mapito mengine.
Zilipokujaga zile za kutishana kutembezwa kikojozi na nguo kaitia Moto😂 nikaona isiwe tabu niache kipaji cha hiari😜
Na siku ukikojoa usiku unakuwa mfupi balaa, asubuhi inawahi kufika utafikiri inakusemelea ule wimbo wa Leooo,Leooo utakoma!.
 
Wewe kama last born wetu tu, yaani kazi yake ni kuenda dukani siku nzima kama pia, sasa siku mama akiwepo nyumbani aone zile nenda rudi utasikia eehh muacheni mwanangu amechoka nisimuone anapita tena hapa kuenda dukani, kama kuna kitu mmesahau mkanunue wenyewe basi dogo naye bichwa hilooo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watoto wa kiume huwa hawanuni hovyo
 
Sijawahi kwenda kukaa kwa watu na Wala sitaki...
Kuishi kwa watu naweza Sana tu ila sitaki

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni last born inawezekana unajijua huwa inadekaje na umeshaona anayeweza kuyavumilia madeko yako ni hao waliopo hapo home. Au pengine mtetezi wako mkuu yupo hapo home ndo maana huwezi toka. Nahisi unajuwa ukitoka tu kwenda kuishi kwingine ITAKULA KWAKO MAZIMA
 

Ngalikihinja hahaah inakuwa balaaa kubwa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry, hivi mnaongelea wale ambao bado mnaishi kwa wazazi ??, kwa sababu mkishaanza kujitegemea ulastborn wako utamfanyia nani ?.
Me mbona najitegemea lakini nafasi yangu bado ipo nyumbani?! Na ukubwa huu mie bado hela za baba nakula
 
Me mbona najitegemea lakini nafasi yangu bado ipo nyumbani?! Na ukubwa huu mie bado hela za baba nakula
Unajitegemea kiaje ?, na je huko ulipo una unamdekea ?, nijuavyo mimi toto huwa linadeka kwa wazazi wake
 
Lol,, Mungu akusaidie upate mume wa kukudekeza (kama bado haujampata) maana hawa wanaume wa siku hizi..
Last born ina raha kama wazazi wako wapo hai lkn kwa sie tuliopoteza wazazi utotoni hakuna anayetujua ni msoto mwanzo mwisho!

Nitadeka kwa mume wangu [emoji4][emoji4][emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…