Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Sijawahi kwenda kukaa kwa watu na Wala sitaki...Last born anapotakiwa kuishi nje ya home sasaa..!!! hapo ndo changamoto huanzia...
Kuishi kwa watu naweza Sana tu ila sitaki
Sent using Jamii Forums mobile app