Uzi wa Matembezi (Travel & Vacations) na Vivutio vya Utalii nchini Tanzania

Chemka ni pazuri ila tu sasa pamekosa usimamizi kabisa can you imagine hakuna msosi wa kueleweka hapo kabisa
 
Chemka ni pazuri ila tu sasa pamekosa usimamizi kabisa can you imagine hakuna msosi wa kueleweka hapo kabisa
Yeah kuna mchangiaji mmoja hapo juu amelizungumza hili pia, kwangu mimi naona hii ni fursa nzuri kwa wadau wanaoweza kuwekeza kwenye huduma ya chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…