Uzi wa picha: Waarabu waking'oa viti Kwa Mkapa

CcTv camera si zipo, hawa wawajibishwe personally, tusiwe na Falacy of generalization kwamba mashabiki wa Simba waling'oa viti.
Kwa namna ile ni baadhi
Kwa kanuni za mpira, fujo za mashabiki viwanjani zinaigusa klabu husika moja kwa moja mbali na shabiki husika. Shabiki anaweza kuzuiwa kuingia uwanjani, klabu inatozwa faini na hata kufungiwa kutumia kiwanja chake au kucheza bila mashabiki.

Marejeo ya video yanaonyesha, mashabiki wa Simba walikuwa jukwaa la juu na waarabu wakiwa chini huku viti vingi vikirushwa kutoka juu kuja chini.
 
Nikiwa kama konstebo alfonsi mzafaru 😂😂 nauliza hivi huyo jamaa Yuko viti vya orange lakini ameshika kiti cha bluu😂😂 Ina maana alipewa kiti hicho na kibu diii kibu dee
 
Hizi ni baadhi ya picha za waarabu waking'oa viti uwanja wa taifa so sad Kwa kweli

Picha ya kwanza ni mwarabu mweusiView attachment 3177982
Simba ni majitu mapumbavu! Nimeona ile press release yao ni kama majitu hayajielewi utetezi wa kipumbavu kabisa! Eti Waarabu ndio walifanya vurugu! Sasa kilichowafanya wang'oe viti ni nini? Hivyo viti vilikuwa vya Waarabu?
 
Takataka
 
Simba ni majitu mapumbavu! Nimeona ile press release yao ni kama mauti hayajielewi utetezi wa kipumbavu! Eti Waarabu ndio walifanya vurugu! Sasa kilichowafanya wang'oe viti ni nini? Hivyo viti vilikuwa vya Waarabu?
Unamuuliza nani!! Tuliza mshono upunguze jazba, viti vitarudi na game nyingine zitapigwa. We pambana kutafuta nafasi katika kundi lako... au viti ndo vinakunyima ushindi kwenye mechi zako?
 
CcTv camera si zipo, hawa wawajibishwe personally, tusiwe na Falacy of generalization kwamba mashabiki wa Simba waling'oa viti.
Kwa namna ile ni baadhi
Lkn si umeona jez kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…