Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
woooiii jaman,,mie nipo sana tu duniani sijakufwaaaaaView attachment 3081598
Namba zangu unazo lakini ukakaaa kimya uwe unaaga basi
Karibu tena jukwaaniwoooiii jaman,,mie nipo sana tu duniani sijakufwaaaaa
asante sana mwanajukwaaKaribu tena jukwaani
wanawake wanene wanapenda usawa mkuu?Wanaume ambao hawaamini kabisa katika usawa wa kijinsia, huvutiwa zaidi na wanawake wembamba!
#Tafiti
Kwenye sura mbaya apo kijanaSaikolojia: Mtu akikutukana, kubaliana nae. Itamfanya ashindwe kuendelea kufanya hivyo!
Mfano: 'Una sura mbaya'
Jibu: Ndio, najua!
Mpaji Mungu mwanetu huyu hapa 😁😁😁Kwenye sura mbaya apo kijana
Kaniona mda sanaaaaaMpaji Mungu mwanetu huyu hapa 😁😁😁
Endeleeni kupiga story mi maza kaniita hapa sijui ni kufata mshumaa😂😂😂Mpaji Mungu mwanetu huyu hapa 😁😁😁
Kuuzeka vibaya unamaanisha nini mkuuKunywa maziwa mtindi mara kwa mara unasaidia usizeeke vibaya!
#Tafiti
Kwani lile swala letu bado tu🙄Nilikuwa napika 😁😁😁
Ndoa ambayo imedumu zaidi, huleta furaha ambayo ni sawa na kupata kipato cha ziada cha Tshs. Milioni 270 kwa mwaka.
#Tafiti
Mbona tena ivo jamaniiiiiTulia wewe 😅😅😅
Sio mchezo ujue
naamini hivoWanaume ambao hawaamini kabisa katika usawa wa kijinsia, huvutiwa zaidi na wanawake wembamba!
#Tafiti
Mkuu mbona sample size yako ni ndogo sana?Babu yangu amekufa na miaka 102 na pacha wake Kulwa kafa na miaka 105. Nguvu ya mtindi