Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #41
chukua beki ya kati mkuu hizo zingine tiyari ila kama unaweza kutaka sawa tuu.. maana huyu babu asprin asije akaingia golini kalewa 😂😂-ninatumia miguu yote
nina uwezo wa kucheza nafasi ya golikipa
-beki wa kati
-left and right winger
-striker9
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapa kwenye Liverpool na barca utajigawa gawa vipiMimi ni bonge la golikipa. Kwenye kudaka Ronaldo na Messi watasubiri sana
Team zangu
Bunju Veterans K Vant drinking club, Simba, Liverpool, Barcelona
Sawa dokta3 niachie niwaague
Kocha tumekupata bado kitengo. cha figisuKocha mzoefu nipo hapa,formation yangu ya 4-4-2 lazima mpinzani akae,wachezaji mjitokeze mapema tu ili nianze kupanga kikosi changu imara.
chukua 11 zingine teyariNatumia miguu yote, nacheza namba 11, 7, 8 na 6
Safi chukua 5 mkuu IPO wazi5 libero na 6 pia zote napiga,enzi zangu jina la utani walikua wananiita lothar matthaus
chukua 11 zingine teyari