Uzi wa vyakula tu

Dah...si afadhali angemwagika mbebaji
Hivyo vinakung'utwa kishwa vinarudishwa, maisha yanaendelea. Hakitupwi kitu hapo.

Wamekupiga bani, sijui umewazingua kitu gani.

Pole Kiongozi.

Endelea kula kwa macho, sie tunaserereka tu
 
Karanga, swaumu, tangawizi na maziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…